REPIN ROCK CITY

REPIN ROCK CITY

TUMA TRACK YAKO

INSTACHOCHO: KICHAMBO ALICHOKUTANA NACHO NUH MZIWANDA INSTAGRAM, BAADA YA KUBADILISHA MUONEKANO WAKE (PICHA)

7:54:00 AM Add Comment
 
Nuh Mziwanda Katika Muonekano Mpya
Na Baba Juti.
NUH MZIWANDA amekutana na "ndimu " za Hatari sana kutoka kwa Mashabiki wake Wa Muziki wake, ikiwa ni baada ya kubadilisha Muonekan hasa katika Sekta ya Nywele zake.

Kupitia Instagram account Yake, Mziwanda ambaye hit maker wa JIKE SHUPA, alipost Picha Kama Tatu ambazo zimemuonesha akiwa amesuka DREADS, kitu ambacho kiliwafanya wengi waanze kumwaga Comments zao


Katika Wingi wa waliocomment, Wengi wameonekana kumkandia zaidi Nuh Mziwanda huku wakishindwa kupata hata jibu kutoka Kwake

BAADHI YACOMMENTS HIZO NI KAMA IFUATAVYO
emmy.walter: Nuh acha kabisaa kuiga hyo style cyo kabisaaa umekua kama mdada vile rudisha nywele kama zilivyokua we ni mzuri ukizidisha mbwembwe unakua wa kike mmh hata bby wako hakuambii aseee

patrick_pattylove : Nafkiri kila mwanadamu ana chaguo na maamuzi binafsi ili kufanya kitu kuna watakao sapoti na wasio sapoti kingine we ni msanii kua na identity yako ya kimuonekano ni muhimu kama staili hiyo umeiamua iwe identity ni vizuri na amna kibaya ita zoeleka tuu #hiiTz

moses_official47: Haijaaa kaaa poaaa nuh hiyo style yko ya nywele badirish

roydar_nsol: Sasa we @iam_mziwanda unaanza kuwa mbaya mh

hamzambasha : hiyo haijakukaa ungevaa wig

omary7326 : Umechukizaaa kma mdoli vile

jonsonnyagawa Maisha ni ww na si wao gudy lifestery

HATA HIVYO 
Siku ya Ijumaa ya Tarehe 30/09/2016, Nuh Mziwanda atasikika kupitia Hit zone ya 93.7 Jembe Fm Mwanza (With Baba Juti, Natt E Brandy na Deejay Jacko) kuhusu Ndimu Hizi alizokutana nazo.

Ni Kuanzia saa 7:00 Mchana - Saa 10:00 Jioni . Hutakiwi Kukosa
Tusilize Pia Kupitia:
App : JEMBE FM HD
Tune In : JEMBE FM

HIT ZONE: LEO TUMEPIGA STORY NA KALA JEREMIAH...LOOH !! HATARI

5:31:00 AM Add Comment

LEO Team HIT ZONE ( Baba Juti , Natty E Brandy na DJ Jacko ) Tumetembelewa na Msanii Kala Jeremiah (0444) katika Studio Zetu za 93.7 Jembe Fm - Mwanza.
Tumepiga Story Nyingi sana, na tumeweza kuenjoy.

Kama Ulikuwa Hujui, Kumbe Hit maker Huyu wa DEAR GOD ambaye hivi sasa anasumbua na Track ya WANANDOTO, huwa anachukia Sana Make Up... na huwa Haogopi kuwachana akina dada ambao wanapiga Make Up na wala hawapendezi

Kaa tayari kwa Full Interview tuliyopiga Naye.
Unaweza kutusikilizia live Masaa 24  kupitia Maelekezo
APP: JEMBE FM HD
TUNE IN : JEMBE FM

NEW VIDEO : JIRANI- WITNESS x OCU SHAGY x SNURA x MZEE YUSUFU

12:35:00 AM Add Comment

JIRANI its a collabo song by WITNESZ KIBONGE MWEPEC and OCHU SHEGGY Collaborating Snura and Mzee Yussuf Recently retired from music

The song Jirani means Neighbor but the kind of Neighbor they are talking about here its two married couple who all of them are staying in the same house but different rooms, so the audio and the video shows how each of these husbands want to go out with there neighbors wife so it shows how, one looks for that time to do so when ever they either know that their wives have gone out or a husband is inside the house or he is out too

The audio of the Song:
JIRANI was writen by Ochu sheggy and co-written by witnesz kibonge Mwepec
Melodies by Ochu sheggy
Produced with Chrixstone beats
Video by Dreams multimedia studio under visualizer creator Pro
Scrip writter and location manager OTCHUNES

UTAFITI: WANAWAKE WENYE MIAKA YA 40 MPAKA 50 NA...HUFURAHIA TENDO LA NDO KULIKO WENYE MIAKA 20 NA...

12:19:00 AM Add Comment

Na Baba Juti
UTAFITI mpya Umeibuka kuwa, wanawake ambao wapo katika Umri wa Kati, yaani kuanzia Miaka 40 hivi na kuende mpaka 50 Na Kitu Hufurahia Tendo la Ndoa kuliko Vijana wenye Umri wa Miaka 20 na kuendelea.


Ingawa Mabadiliko ya Kimaumbile  huwafanya wakutane na Ugumu fulani katika mpangilio wa Mapenzi na hata vitu vingine, Watafiti wa UNIVERSITY HOSPITALS CLEVELAND MEDICAL CENTER wanasema kuwa wanawake ambao wako katika Umri huo, huwa na Ujasiri unaoambatana na mbinu mbali mbali za kimapenzi ambazo huwafanya kuboresha Msisimkuo wa Mahusiano ya Kimapenzi

Tofauti na Hilo, wanawake Wenye Umri huo, hufurahia mawasiliano mazuri, na kwa silimia kubwa hufurahia sana sana kuvaa mavazi ya kutamanisha hasa wanapokuwa chumbani tu, hali ambayo huongeza chachu ya kutamanika kwa mwanaume pindi wanapojiandaa kwa Supa Mechi ya Mtinduo.

Watafiti wamefanya mahojiano na Wanawake Zaidi ya 500 walio na Umri wa Miaka kati ya 40 na 75 walioko kwenye mahusiano kuhusu kinachotokea katika Tendo la ndoa linapopungua kwa sababu ya Umri Mkubwa.

Majibu makuu mawili waliyotaja ni pamoja na Kukauka kwa UKE pamoja na kukosa kwa hamu ama kuwa na hofu na Kufanya Tendo la Ndoa

Pia ikabainika kuwa, Wanawake walio na Umri Kati ya Miaka 40 na kuendelea, na wako katika mahusiano na watu wazima wenzao, hukosa "Shibe" ya tendo la ndoa na kuachwa na hamu, jambo ambalo huwafanya wengi wao walio katika idadi ya asilimia 50 hutumia Vifaa vyenye maumbile ya Uume, vinavyotetemesha ili kuwafanya wafurahie.

DR. SHERLY KINGSBERG, ambaye ni mtaalamu aliyebobea katika Matatizo na masuala ya Kitabia, anasema kuwa Utafiti unaonesha kuwa, Ni kweli wanawake wengi walio katika Umri huo, huenjoy tendo la Ndoa na hata kuridhika balaa, lakini Wengi wao, hushindwa kulifurahia sababu ya kutoridhishwa na Wenzi wao ambao labda wanawazidi kiumri au wapo katika Umri mmoja.

DR JOANN PINKERTON, Mkurugenzi wa NAMS ( NORTH AMERICAN MENOPAUSE SOCIETY) amesema kuwa Utafiti huo utawasilishwa katika Mkutano wao Mkuu wa Mwisho wa Mwaka 2016, utakaofanyika Huko ORLANDO Nchini Marekani, OCTOBER 05.

MTANGAZAJI ALIYEACHA KAZI LIVE ILI AKAUZE BANGI, HUENDA AKAFUNGWA MIAKA 24 JELA

11:32:00 PM Add Comment

CHARLO GREEN, aliamua Kuacha Kazi Ili akajikite zaidi katika Biashara yake ya Kuuza Bangi

Na Baba Juti
KAMA utakuwa ulikuwa hujui, basi inabisdi ufahamu kuanzia hivi sasa, kuwa, kazi zetu hizi sometimes huwa zinz changamoto hasa ukiwa umeajiriwa, halafu una ka biashara kako Kengine kuweza kujikimu japo kimaisha.



CHARLO GREEN, aliyekuwa Mtangazaji wa Kituo cha Televisheni cha ABC mwaka 2014 kisha akaacha Kazi kwa ajili ya kuuza Bangi, huenda akahukumiwa Miaka 24 pale atakapobainika na kosa.

November 2014, Baada ya Kutangazwa Kuidhinishwa Uvutaji wa Bangi Katika Baadhi ya Majimbo, Charlo Greene aliacha Kazi Miezi Miwili Baadaye


Mwaka 2014, akiwa Live katika TV kupitia Segement yake, CHARLO GREEN aliacha kazi huku wengi wakiwa wanafuatilia kipindi hicho, na kauli yake iliyowashtua wengi ni kusema "F**ck , I Quit" na kisha kuondoka.

Green alidai kuwa, ameamua kuacha kazi ili kujikita zaidi katika Club Yake ya kuuza Bangi- ALASKA CANNABIS CLUB, katika Jimbo hilo la Alaska Nchini Marekani.

Charlo amefunguliwa Mashtaka ya Makosa 8, na Endapo atakutwa na Hatia, basi atatumikia Kifungo cha Miaka 24 Jela


Lakini Kitu cha ajabu ni Kipi, Alaska ni Miongoni mwa Majimbo ambayo yameidhinishwa Kuuza Bangi, lakini Mpaka Kufikia FEBRUARY 2015, Sheria hiyo ndo ikaanza kufanya Kazi Rasmi.

Sasa, Green amekutana na Makosa 8, ambapo katika Club Yake, Polisi walikutana na Bidhaa za Bangi mara kwa Mara, katika Kipindi ambacho Sheria ilikuwa haijaanza kufanya Kazi


HIVI sasa ameanzisha Kampeni ambayo inalenga kumtetea na kumuepusha na Jela

Inasemekana Kuwa Bibie huyo aliychukua Vichwa Vingi vya habari, alipiga Chini Kazi hiyo Miezi Miwili Baada ya NOVEMBER 2014, wakati Tayari Bangi ilikuwa imeshatangazwa kuhalalishwa katika Baadhi ya Majimbo, lakini tangu zamani, Club yake ilikuwa ikifanya Biashara hiyo, yaani kabla haijahalalishwa.

KIMKARDASHIAN: ALIYENIBUSU KALIO LANGU NATAKA ASHTAKIWE...MAANA AMEZOEA !! (VIDEO)

10:22:00 PM Add Comment

KIM KARDASHIAN WEST (Kushoto) anataka Kumfungulia Mashataka VITALII (Kulia) kwa Kitendo cha Udhalilishaji alichomfanyia Ufaransa, ili ajifunze na kuacha kufanya upuuzi huo kwa Watu Maarufu

Na Baba Juti
BANANGE !!, Lili Jamaa Lenye Uchu na Mate Ya Fisi Kutoka Paris Ufaransa, sasa linatakiwa Likamatwe na kufikishwa Mahakamani aisee !!!!!!


Hicho Ni Kilio cha Kim Karadshian ambaye anataka Jamaa aliyemvamia na kumbusu Kalio Lake, akamatwe na kuwajibishwa kwa kitendo cha kumdhalilisha na kumharibia Siku...

VITALII akimbusu Makalio Kim Karadshian Jijini Paris, Lakini Alikutana na Ulinzi Mkali


Kwa Mujibu wa Taarifa ambazo tuko nazo mpaka hivi sasa, inasemekana kuwa KIM KARDASHIAN anampango wa Kufungua Mashtaka Dhidi ya Bwana Fisi Huyo aliyetambulika kwa jina la VITALII SEDIUK kwa kitendo hicho ambacho kilionekana kumdharirisha na kumkosea Heshima akiwa Jijin Paris Ufaransa.

Aidha, Kim atashirikiana na Jeshi la Polisi Jijini Humo, kuhakikisha Jamaa anakamatwa na kufikishwa mahakamani, maana amekuwa akiwadhalilisha watu mbali mbali maarufu wanaofika hapo, na ili kukomesha Tabia yake hiyo chafu, basi anatakiwa kunyea Ndoo kwanza ili ajifunze


TIZAMA VIDEO HIYO HAPA

SAY WHAT?: FETTY WAP KUBURUZWA MAHAKAMANI KWA WIZI WA TRAP QUEEN?

10:04:00 PM Add Comment

Na Baba Juti
SASA majanga Mengine yameibuka, na safari hii mlengwa ni Fetty Wapp !!!!!!!!!!!!!!!!.

Mwandishi na Msanii kutoka Nchini Denmark, LAZAR LAKIC, amesema kuwa amefungua Mashtaka dhidi ya Fetty Wap na Producer Wake Tonny Fadd kwa kutumia Beat yake katika Wimbo wa TRAP QUEEN ambao kila mmoja hawezi kuusahau katika historia ya Muziki wa aina ya Trap.

Lazar anadai kuwa amelipia Beat ya Wimbo Huo Mwaka 2014 na ana haki miliki


LAZAR amedai kuwa, Miaka Miwili iliyoakata, yaani 2014 alikutana na Producer huyo na kumlipa juu ya haki ya kumilik Beat Hiyo ya Trapp Queen, lakini kwake, ilitumika katika Mzigo wa Hello, na kila kitu kukamilika

Pia Lazar anaongeza kuwa, mnamo Mwaka 2015, alilip[ia tena Beat hiyo ya Tra Queen na bado kubaki katika hakimiliki yake kawaida.

Katika hali ya Kushangaza, Mkwaju huo wa Trap Queen ulianza kusikika 2014 na Lazar anadai hakuwa amefahamu, lakini Mwaka 2015, Mzigo huo ulianza kusikika na kukita Duniani Kote huku ukifika mpaka chati za Juu za Muziki ikiwemo Billboard 100, na Ndipo Lazar akagundua na kushangaa kwanini Beat yake imetumika katika Mkwaju huo ilihali ana Haki za Kumiliki Beat Hiyo.

Naye Mwanasheria wa Fetty Wap, NAVARRO GRAY, amesema kuwa FETTY WAPP hajaiba Beat
hiyo kama inavydaiwa hivi sasa, bali ana Mikataba ya makubaliano na malipo ya Sehemu ya haki ya Wimbo huo.

Lakini kama itatokea Producer kamuingiza Mkengeni, Basi Fetty Wap atatakiwa kulipwa na Producer Fadd kwa usumbufu na uharibifu utakaojitokeza

PIT BULL: ALBUM YANGU NI KALI BALAA

9:48:00 PM Add Comment

Na Baba Juti
TUNAAMINI kuna wengi watakuwa wamemiss sana Pittbull a.k.a Mr World Wide a.k.a Mr 305, jamaa ambaye anajua kuzikimbiza zile Style za Po na kila Mtu analijua hilo.

Hit Maker Huyo wa INTERNATIONAL LOVE akiwa amemshirikisha Chris Brown, amekuwa na Ukimya kwa Muda Mrefu Kidogo, jambo ambalo lilitia Kiu ya Nguvu kwa mashabiki wake wote.
Lakini The Good News kwa Hivi sasa, Ni kwamba, Pitbuul amesema hivi, Album yake ambayo ameipa jina la Climate Change (Kwa Kiswahili MABADILIKO YA HALI YA HEWA), imekuja kubadili hali ya Hewa Kweli, na sio masihala.

Katika Kufafanua Zaidi, Pitbull ameinadi album yake hiyo kwa Kudai kuwa, anaamini itakuja kufurumua mambo mengi hasa katika Sekta ya Burudani, ukizingatia ameshirikisha Vichwa kadha wa kadha akiwemo Mwanamama J-LO, ENRIQ IGLESIAS, FLO-RIDA,


Tofauti na Hao, Pit Bull ameamua kumkumbuka mwanamama ambaye aliutikisa ulimwengu wa Burudani kupitia Mkwaju wake wa BLEEDING IN LOVE, Leona Lewis kwa kumpa Shavu katika Album Yake hiyo.

Katika upande Mwingine, Pitbull amesema kuwa, anachojivunia ni kwamba, sio kutambua kuwa, kuna wasanii ameshirikiana nao, la hasha, bali anaamini kuna wasanii wameshirikiana naye katika kukamilisha Album Hiyo, na anaaminikabisa ni njia ya yeye kujifunza mengi sana na makubwa kutoka Kwao.

Tofauti na hilo, PitBull ameongeza kuwa, Celine Dion, hawezi kuimba kuzidi yeye.

INSTA CHOCHO: KAULI YA DULLY SYKES KWA MUCKIE WA MAKOMANDO

7:06:00 AM Add Comment


"HONGERA SANA MUCKIE WA MAKOMANDOO KWA KUPATA MTOTO WAKIUME PIA ASANTE SANA KWA KUMPA JINA LANGU #DULLYSYKES UMEONYESHA JINSI GANI UNANIPENDA PIA BADO UNATHAMINI MCHANGO WANGU KWENYE MZIKI WA BONGOFLAVA....inshallah mungu amkuze DULLY SYKES Jr.🙏🙏🙏 @muckycomando @makomandoo"

CIARA: SITAKI FUTURE AENDELEE KUNIANDAMA, ANANIHARIBIA BRAND YANGU.

7:02:00 AM Add Comment




Na Baba Juti
INAONEKANA kabisa kuwa, Bado Rapper na Muimbaji FUTURE, anazidi kumuandama sana Ex Wake Ciara, ambaye hivi majuzi tu alifunga ndoa na Mchumba wake Russels na huenda wakawa wanatarajia kababy Kengine.

Kwa Mujibu wa Taarifa aminifu zinadai kuwa, Mwezi Huu, Ciara alipeleka malalamiko yake katika Mahakama, na kuitaka kumuwekea Zuio Future la kumzungumzia Ciara maana anazidi kumchafulia Brand yake.


Ciara anaamini kuwa, Endapo Future atawekewa Zuio Hilo, basi itakuwa rahisi sana kufyata Domo lake na kuacha kabisa kumharibia Jina lake pamoja na Brand yake ambayo inamsababisha ang'ae katika Biashara.

Awali, Ciara aliwahi kulalamika kuwa, Future alichangia kwa asilimia kubwa kumharibia Deal la Pesa Ndefu sana kiasi kwamba Kampuni husika ikaogopa kupiga naye kazi kuogopa kukosa wateja.

MWALIMU ATUPWA JELA KWA MAKOSA HAYA MAWILI

6:56:00 AM Add Comment




BLACK TOUCHEZ
Mahakama ya wilaya ya MLELE wilayani KATAVI imemuhukumu mwalimu wa shule ya msingi UKINGWAMIZI  UNE THOM miaka 32 jela baada ya mahakama kumkuta na hatia ya makossa mawili ya KUMNAJISI NA kumpa mimba mwanafunzi wake mwenye umri wa miaka 16.
Mwanafunzi huyo alijifungua mtoto njiti na akafariki baada ya muda,Ambapo hakimu mfawidhi wa mahakama hiyo TEOTIMUS SWAI amesema mashtaka yaliyotolewa dhikdi yake na ushahidi uliokuwa ukiongozwa na mkaguzi wa polisi BARAKA HONGOLI imethibitisha kweli mtuhumiwa alitenda kosa hilo
Mwendesha mashtaka huyo aliongeza kuwa mtuhumiwa alikuwa na mahusiano ya mapenzi ya muda mrefu sanaaaa.

MNADA BANNER