Black Touchez Editor/TMZ
HIVI, unakumbuka kuwa kipindi cha Nyuma Kidogo, yaani
2010, Usher Rymond alilalamika Gari lake kuvunjwa na Lap Top 2 kuibiwa, pamoja
na Vito vya Thamani, Video camera 2, akiwa ATLANTA na Ex-wake Tameka?
Basi Bwana, kumbe, moja ya Laptop zilizoibiwa,
kulikuwa na Video ya Ngono iliyomhusisha Usher Rymond Pamoja na Aliyekuwa
Mkewe, TAMEKA RAYMOND…
·
Inataka
Kuingizwa Sokoni
Muuzaji wa Video Hiyo ya Ngono amesema kuwa
anasaka kampuni ya kuweza kununua Video hiyo kwa gharama yoyote ile, ili aweze
kuvuna mkwanja wa kutosha.
Jombaa huyo ambaye mpaka hivi sasa hajafahamika
wala kukamatika, amesema kuwa anayo mkononi Video hiyo ya “Nkwinchi-Nkwinchi”
na kampuni yoyote inayojihusisha na masuala ya Biashara ya Video za Ngono, basi
ijitokeze kununua Kitu Hiyo.
·
Eti
Inaweza Kuwa Ngumu Kununuliwa:
Imeshasemekana kuwa, Video hiyo inaweza
isinunuliwe na Kampuni zinazojihusisha na Biashara ya Ngono , kwa sababu, Video
hiyo ilikuwa ni Private, na haijaruhusiwa kuingia sokoni.
Lakini tofauti na hilo, Video hiyo imeibwa, na
inahusishwa na Wizi wa Vitu vingine jambo ambalo ni Kinyume cha Sheria na
Kanuni za Nchi yoyote Ile
EmoticonEmoticon