DESIRE LUZINDA: Anaogopa Kutoka Nje maana hajui
watu wata-react vipi kutokana na Picha zake Kuvuja
|
Na Black Touchez/BBC/Uganda Online
HIVI ndivyo inavyokuwaga hasa unapobaini kuwa
ulifanya Ujinga wa Kijinga bila kujua ujinga unaoufanya utakutambulisha kama
Mjinga wa Kutupwa, Back to The Topic..
Msanii wa Uganda ambaye hivi majuzi tu, Picha
zake za Utupu zilivujishwa na Ex-Boy Wake “Mnaijeria”, DESIRE LUZINDA, amesema
kuwa anaogopa kutoka Nje kutokana na Aibu na madudu ambayo yameshafanyika
tayari kupitia Kuvuja kwa picha hizo
Akizungumza na Mwandishi wa habari wa Shilika la
Utangazaji Nchini Uingereza, BBC, Desire amedai kuwa hivi sasa hataki kutopka
Nje na anajificha kwa sababu anaogopa jinsi ambavyo watu na hasa mashabiki wake
watakavyo-react pindi watakapomuona.
DESIRE LUZINDA: wakati anaongea na Simu na mama
yake, alijisikia Vibaya, akalia, na kuhisi anamsababishia hali ngumu mama yake
huyo
|
Desire ameongeza kuwa, amekuwa haijifichi katika
Macho ya watu tu, bali hata katika Vyombo mbali mbali vya habari, ambavyo
pengine zinahitaji kufahamu ukweli na hali ya Desire baada ya tukio hilo.
Desire ameongeza kuwa, hata baada ya mama yake
kumpigia simu na kumwambia wakati anafyatuliwa picha hzi alikuwa Mtungi sana,
alijiskia vibaya sana, alilia mno hasa kipindi cha maongezi yao.
FRANKLIN: Amevujisha Picha za Utupu za Desire
Luzinda baada ya Kugundua kuwa, anamsaliti sana na wanaume Wengine
|
Msanii CINDY SANYU pia aliwahi kukutana na Soo
hilo mnamo Mwaka 2008, lakini Mwisho wa siku alijitokeza, akaanda mikwaju, na
akapiga show, mambo yakaenda poa sana.
EmoticonEmoticon