MAUMIVU:BINTI wa KIPOKOT (Pokot) akiwa katika
maumivu makali baada ya kufanyiwa Ukeketaji.
|
TUKO TAYARI: MABINTI wengine Wa Kipokot Kutoka
Nchini Kenya, wakiwa tayari kupelekwa mahali kwa ajili ya Tohara
|
TAYARI: Baada ya Tohara, mabinti wa Kipokot
huvalishwa Ngozi kuwafunika
|
MUONEKANO: Binti wa Kipokot anapakwa rangi
Nyeupe Usoni na Mwili Mzima kabla ya Tendo la Tohara (FGM)
|
TUNAKUANDAA: Wanawake wakimuandaa Binti tayari
kwa Tendo la Tohara
|
TUNASUBIRI: Mabinti wa Kipokot Hukaa katika Mawe
wakiwa “Watupu” na wamevalia Ngozi, tayari kwa Kufanyiwa Tohara (Ukeketaji)
|
Mabinti wengine wakiwa Majumbani kwao kusubiri
Zoezi zima la Tohara
|
NI UTAMADUNI: Wanawake wa Kipokot, huandaa
Mazingira kwa Kuweka Mawe, ambayo yatatumika kipindi cha Tohara kwa Mabinti wao
|
MUDA UMEFIKA: Muda ukiwadia, Mabinti hutolewa
Nje ya Nyumba zao, tayari kuelekea katika Tohara
|
Hukimbia Mbio kuelekea mahali ziliko Ngozi, na
kuzivaa ili waelekee katika Zoezi la Tohara
|
NI LAZIMA: Hata kama hautaki, wazazi kwa
Kushirikiana na wazee wa kabila hilo, hukulazimisha kutoka ndani ya Nyumba, ili
ukafanyiwe Tohara
|
EmoticonEmoticon