REPIN ROCK CITY

REPIN ROCK CITY

TUMA TRACK YAKO

Showing posts with label Videos. Show all posts
Showing posts with label Videos. Show all posts

CARD B KASHUSHA MZIGO MWINGINE.... UNAITWA I LIKE IT (UTIZAME HAPA)

2:29:00 AM Add Comment

Na Baba Juti  
#WatuWaMungu Jumatatu, Card B alitoa taarifa kuwa tutarajie kuona Video yake Mpya ambayo inaitwa I LIKE IT, na hatimaye amefanya hivyo Siku ya Jana

Katika Video hiyo ambayo imekuwa chini ya Director EIF RIVERA, Card B amewashirikisha wasanii wawili kutoka Latino Areas ambao ni Bad Bunny na J Balvin

Itizame hapa

VIDEO: HII HAPA VIDEO MPYA "KINANDA" KUTOKA KWA MESEN SELEKTA AKIWA NA RAYAKO (VERY HOT)

6:56:00 AM Add Comment

Na Rich Sam  
TANZANIA, kama Wasanii Wengi ambao huwa wanaamua kupiga "SILENT" kwa muda Mrefu hatutakiwi kuwapuuzia kwa namna moja ama nyingine

MESEN SELEKTA ni miongoni mwa Producers ambao walitamka kuwa , kabla hata ya kujihusisha na Production, alikuwa ni msanii wa kawaida kama walivyo wasanii wengine, na kadri siku zinavyokwenda, basi anadhihirisha hilo kwa kazi kali ambazo huwa anaachia

WEDNESDAY HOTTEST TRACK (W.H.T) Ni Brand New Video kutoka kwa Mesen Selekta akiwa ameshirikiana na Rayako. Mkwaju unaitwa KINANDA huku Production ikiwa ni ya kwake mwenyewe. LUCA SWAHILI VISUALS ndio waliohusika katika Video.

Itizame hapa

VIDEO: KENDRICK LAMAR KASHUSHA MZIGO MPYA "ALL THE STARS" YUKO NA SZA

12:10:00 AM Add Comment

Na Rich Sam  
Rapper KENDRICK LAMAR ameachia Brand New Video akiwa amemshirikisha Bibie SZA. Video hiyo inaitwa ALL STARS

Tenga Muda Wako Kuitizama Sasa Hivi

VIDEO: WIZ KID KAISHUSHA VIDEO MPYA "NOWO" AMEMSHIRIKISHA CDQ

12:00:00 AM Add Comment

Na Baba Juti  
Watu Wa Mungu , Msanii aliyefanikiwa vizuri mpaka kufanya Collaboration na wasanii wakubwa Kimataifa, WIZ KID a.k.a STAR BOY, ameshusha Brand New Video inayoitwa NOWO na amemshirikisha Msanii mwingine anayeitwa CDQ

Producer aliyehusika katika mchakato wa AUDIO, anaitwa MASTER CRAFT. Chukua muda wako kuitizama

VIDEO: RUDI By RICH MAVOKO x PATORANKING

1:26:00 AM Add Comment

Na Baba Juti  
#WatuWaMungu Msanii kutoka WCB, Rich Mavoko, ameshashusha Video yake Mpya ambayo inaitwa RUDI, aliyomshirikisha Patoranking kutoka Nigeria

Chukua Nafasi yako Nzuri kuitizama na kushare na watu kadha wa Kadha ambao pia ni sehemu ya Mashabiki wazuri wa Rich Mavoko

VIDEO: MWANA FA x AY x FID Q- UPO HAPO?

2:39:00 AM Add Comment

Na Baba Juti    
WATU wa Mungu kuna Mzigo Mpya huu hapa kutoka kwa Rappers Watatu Hapa Nchini Tanzania ambao pia wana historia pana zaidi na Muziki wa Kizazi Kipya hapa Nchini Tanzania

Wamekusanyana FID Q, MWANA FA, na AY ambao wamekunjua Video iliyopewa jina la UPO HAPO.

Audio imekunjwa kutoa Studio za B HITZ chini ya Hermmy B huku Video ikisimamiwa Poa na Director Alessio kutoka Kampuni ya Studio Space Pictures (SSP)
CHECKI

MNADA BANNER