Utafiti Unaonesha Dhahiri Kwamba kwamba, Watoto
zaidi ya MILIONI 7.5, wenye Umri wa
Miaka 13, Hutumia Njia za Udanganyifu kufungua account zao katika Mtandao wa
Facebook
Aidha taarifa zaidi zinafafanua kuwa, Awali
mnamo mwaka 2012, FACEBOOK ilitakiwa kuwa na mchakato wa watoto walio na umri wa Miaka 13 kufungua
account zao facebook, lakini Endapo wataruhusiwa na kusimamiwa na wazazi wao.
Naye Mkurugenzi wa Masuala ya Msaada wa watoto
katika matumizi ya Mitandao, JAMES STEYER (STEYA), amesema kuwa ni kweli kuna
Suala hilo, lakini hivi sasa hawana Utafiti madhubuti wa Kisayansi, kuweza
kutathmin Faida hasi na Chanya ambazo Mitandao ya kijamii inaweza kuitoa kwa
Vijana wenye umri mdogo.
Hata hivyo inasemekana kuwa, Hivi sasa Mtandao
wa facebook bado inashughulikia Jukumu la Kuanzisha kanuni hasa katika
Kujisajili, ambapo watoto walioko katika Umri wa Miaka 13, watahitaji kujaza
majina ya wazazi wao, Mahusiano yao na wazazi wao, pamoja na Idhini ya wazazi
wao, ili kutambua umri wa Mtoto huyo, ama mtumiaji wa Account hiyo ya facebook.
EmoticonEmoticon