THIS IS WHAT WE CALL LOVE..na hayo ndiyo
yaliyomtokea Shakira.
Iko hivi, Mwanamama anayeheshimika Dunia nzima
kwa Viuno na mahips, Shakira, amesema kuwa, byfriend wake hataki ashikwe shikwe
na Mwanaume yeyote katika video anazoshiriki.
Kwa mujibu wa maelezo yake katika Jarida la
BILLBOARDS, Shakira amekiri kuwa Boyfriend na Mzazi mwenzake ambaye na Msakata
Kabumbu katika Club ya BARCELONA, GERALD PIQUE (PIKE), hataki kabisa na wala
hayuko tayari Rihana ashiriki katika Video na Mwanaume yeyote ambaye atamshika
mshika katika maungo yake ya mwili, kutokana na Wivu alio nao juu yake.
Katika kudhihirisha hilo, Shakira alifunua kuwa,
ndio maana katika video yake ya CANT REMEMBER TO FORGERT YOU , amemshirikisha
Rihanna na hata kumruhusu amshike kwa sababu ni Mwanamke mwenzake, na PIQUE
(PIKE) ambaye ni boyfriend wake hakuwa na tatizo Juu ya hilo, kwa sababu ni
Bora ashikwe na mwanamke kuliko Jembe.
Tofauti na hayo, Shakira amesema kuwa kutokana
na hali hiyo, Shakira ameona ni vema abadilishe system ya kuwahusisha wanaume
wanaomshika katika Video yake yoyote, badala yake atakuwa akiwahusisha
wanawake, maana anayaheshimu maamuzi ya Boyfriend wake huyo, nab ado anampenda
huku akitamani na kuomba Uhusiano wao uzidi kudumu.
Shakira na Gerald Peque wamekuwa katika
mahusiano ya kimapenzi kuanzia mwaka 2011, na Mwaka 2013 walfanikiwa kupata
Mtoto wa kiume anayefahamika kwa jina MILAN PIQUE MEBARAK
EmoticonEmoticon