MTOTO aliyeibuka Hivi majuzi na kudai kuwa ni
Damu halali ya Michael Jackson (marehemu), huku Vipimo vya DNA vikithibitisha
kabisa kuwa Ni kwelio, inasemekana kuwa amechimbwa Bit kutumia, Kugusa wala
kudai sehemu ya Fedha au mali za Mkali huyo wa zamani wa Pop.
Kwa upande wake Mtoto mwenyewe ambaye jina lake
ni BRANDON HOWARD, amedai kuwa hilo wala lisiwaumize kichwa watu, maana Yeye
hana Mpango wala Nia ya Kuomba au kutumia mali yoyote ya Michael Jackson, maana
hakuhusishwa tangia Awali katika mali hizo.
Pia ameongeza kuwa, wala familia isitarajie
kupata usumbufu kutoka kwake maana Wahusika halali katika mali hizo, ni Watoto
watatu ambao ni PARIS JACKSON, PRINCE JACKSON na BLANKET JACKSON.
Hata hivyo kwa Mujibu wa Wosia wa WACKO JACKO,
inasemekana kuwa, wanaotakiwa kugusa ama kufaidika na mali zake, ni pamoja na
watoto wake Watatu pamoja na baadhi ya Vituo vya Misaada vilivyokuwa
vikihudumiwa na Michael Jackson Mwenyew, Enzi za Uhai wake
EmoticonEmoticon