BAADA ya TTM Kukaa Chonjo kusikia
kitakachozungumzwa na MOUSTAPHA COLONEL juu ya kumtumia Huddah na Jina lake ili
kujipatia “Title” tena katika Game, Finally Yametimia.
Baada ya jana Huddah kukaririwa katika interview
akimkana MUSTAPHA COLONEL ambaye hivi majuzi amekuwa akijitapa “Kubiringika”
naye mara kadhaa katika “Uwanja wa Seremala”, bali alitaka kutumia Jina lake
ili kujikomboa katika anguko baya la Kimuziki na Mishe nyinginezo.
Lakini baada ya kutafutwa azungumzie ishu hiyo,
COLONEL naye hakusita “kumininika” na kutoa kauli ambayo ni Short and CLEAR -:
“Huo ni
Uwongo. Kama Mtu hayuko class yako mbona mnapigaje ukiwa sindiria? Mboona
hukupiga na watu wengine?”..alimaliza COLONEL MOUSTAPHA
ENHEE !!!...wacha tukae Chonjo tena !!!!!
EmoticonEmoticon