Mfungwa wa gereza la
Butundwe wilayani Geita mkoani Geita, mwenye amba 224/2013 Godfrey Selemani
(19) anatuhumiwa kumbaka mwanafunzi wa shule ya msingi Luhuha kata ya
Nyakagomba wakati akichanja kuni porini.
Kamanda wa polisi mkoani Geita Bw. leonard Paul alisema kuwa tukio hilo lilitokea February 26, mwaka huu majira ya saa tisa ambapo mwanafunzi huyo jina limehifadhiwa anayesoma darasa la tano katika shule hiyo alipokuwa akichanja kuni na wenzake watano.
Wanafunzi hao wakisimuliatukio hilo walisema kuwa alipita mtu mmoja akiwa amevaa sare za wafungwa na baada ya muda mfupi mtu huyo alirudi akiwa amejipaka majivu kifuani huku akikimbia kuelekea walikokuwa wakichanja kuni.

Baada ya kuona hivyo alianza kukimbia kila mtu uelekeo wake na wakiwa wanapiga
kelele zakuomba msaada na kwa bahati mbaye aFukire James alijikwaa na
kuanguka chini na ndipo mtuhumiwa alipomvamia na kumbaka.
Kwa upande wake mama wa binti huyo Bi. Pendo Mashauri alisemakuwa kitendo alichofanyiwa mtoto wake ni cha kinyama na kuomba serikali kumchukulia hatua kali mtuhumiwa huyo.
Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya wilaya ya Geita Bw. Adam Sijaona alithibitisha kumpokea mwanafunzi huyo Februari 27, mwaka huu na kumpatia matibabu.
Uchunguzi uliofanywana umebaini kwamba mfungwa huyo anatumikia kifungo cha miezi sita jela katika gereza la Butundwe.

CREDIT: BARUTI
EmoticonEmoticon