Marehemu Mihayo Ngofa anaye kadiriwa kuwa na
umri wa kati ya miaka 65 hadi 70 aligongwa na daladala ya kwanza iliyokuwa
ikitokea mjini kati kuelekea Igoma na kisha kugongwa na daladala nyingine
ambapo zote zilikuwa zikipishana kwa wakati mmoja nyingine ikitokea Igoma
kuelekea mjini kati.
Mara baada ya tukio hilo daladala hizo
hazikusimama ziliunganisha safari zake kwa mwendo wa kasi bila kufahamika
zilipoishia.
Vielelezo vinaonyesha kuwa marehemu alikuwa
akitoka sokoni kuinunulia mboga familia yake.
Tukio hili linatokea wakati Wakandarasi wa wa
ujenzi wa daraja la kivuko kipya cha juu cha watembea kwa miguu kikiwa katika
hatua zake za mwisho kukamilika na kuanza kutumika.
CREDIT:
ZEPHANIA MANDIA
EmoticonEmoticon