ZA FASTA ambazo zimelifikia “Suppa Room” la TTM
ni Kwamba hatimaye Huddah amemtoa Nishai aliyekuwa anasadikika kuwa Mpenzi wake
MOUSTAPHA COLONEL ambaye Hivi majuzi tu alijitapa kuwa hawezi Kumwacha Huddah.
Kwa Mujibu wa Interview ambayo amefanya katika
Kituo cha Televisheni Nchini Kenya, KTN, HUDDAH amedai kuwa, hayuko katika
mahusiano ya kimapenzi na COLONEL, bali hali hiyo ilitokea baada ya Kuambiwa
kufanya hivyo na Moustapha mwenyewe.
Aidha Huddah alizidi “Kumiminika” kuwa, hakushtushwa
na mitonyo hiyo ilivyokuwa ikizagaa siku hadi siku..
“Simfahamu MUSTAPHA, Sifahamu anakoishi. Kwa
Mara ya Kwanza Tulikutana katika Zoezi la Upigaji Picha, na Kisha tukaelekea
katika Interview na KTN. Lakini Kitendo cha kumuona akifanya Interview sehemu
kibao akizungumzia mien a yeye kuwa na uhusiano wa Kimapenzi, kimeharibu sana
jina langu, kwa sababu Moustapha na OGOPA DJ, ni Meli inayozama baharini. Hivyo
walifanya hivyo ili kurudi kwenye game kupitia Jina langu.” Alisema Huddah
Tofauti na Hilo, Huddah ambaye aliiwakilisha
nchi ya Kenya katika Shindano la BIG BROTHER AFRIKA Mwaka 2013, aliamua kuvunja
ukimya na Kudai kuwa MOUSTAPHA Kamwe sio Type yake hasa katika Suala la “Kubiringika”
“Ninaomba kuliweka sawa hili suala. Moustapha
Siyo Class yangu hata kidogo na kila mtu analijua hilo. Siwezi kudate naye .
hata siku ile nilipoulizwa swali la kuhusu kutoka na Mustapha, nilicheka sababu
nilijua kinachoendelea, na niliambiwa nifanye hivyo” alimalizia kabisa Huddah.
SO……KIFUATACHO?..Tumsubiri Moustapha na OGOPA
DJS
EmoticonEmoticon