KUTOKANA na Tukio
ambalo lilitokea Mnamo JULAI 2013, kumpiga
PAPARAZI Mmoja huko LA, Nchini Marekani, Hatimaye mahakama imetoa hukumu
yake kwa Msanii huyo ambaye alilalamika kuwa yeye ndiye aliyekosewa..
TTM tumebaini
kuwa Rapa Huyo wa Chicago
alibainika kuwa na Makosa, jambo ambalo lilimfanya akumbane na adhabu ya Kuwa
Chini ya Uangalizi wa Miaka Miwili dhidi ya Matukio ya Aina hiyo.
Tofauti na Adhabu
hiyo, YEEZY amekumbana na adhabu ya kufanya Shughuli za Kijamii kwa Muda wa
Masaa 250, pamoja na Kuhudhuria Msaada ama huduma ya kupunguza ama kukabiliana
na Tatizo la Hasira (Hunger Management) kwa Muda wa Masaa 24.
Baada ya kuinyaka
hilo , Finally TTM tumebaini na hata kuamini kuwa
KANYE WEST huenda akawa na tatizo kama La Chris Breezy ingawa lake halifikii
kipimo hicho.
Duh..Balaaaaa
EmoticonEmoticon