Marehemu Daud Mwangosi (Kulia) akiteta Jambo katika Kikao cha wanahabri Mkoani Iringa, Siku Moja kabla ya Kifo Chake.
Marehemu Mwangosi katika Majadiliano, pembeni ya Kibanda Cha Magazeti, Mkoani Iringa
Marehemu Mwangosi akiwa Mtaani katika Harakati za Kuufahamisha Umma.
Hilo ndilo lilikuwa Zoezi lake la Mwisho ili kuufahamisha Umma kuhusu Mkutano wa CHADEMA, uliosababisha Vurugu na hatimaye Umauti Kumkuta. Hapo Marehemu Mwangosi (Aliyevaa sweta la Kaki na Suruali Nyeupe huku amenyanyua Mikono kupiga Picha) akipiga Picha siku ya Kifo Chake. Hakujua kama hayo yangemkuta, na sasa ni hadithi nyingine Tena
Polisi wakionekana Kumshambulia Marehemu Daudi Mwangosi (Mguu wake ni huo unaonekana ukiwa na Suruali Nyeupe). ***************************************** Pumzika Kwa Amani Mpendwa Wetu Daudi Mwangosi. Tuko nyuma Yako katika kupigania Haki za Watanzania Wanyonge. Tutaimarisha Msingi uliouanzisha.
EmoticonEmoticon