Rais wa Jamhuri Ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete
Na Frank Joachim
Dar es Salaam, Tanzania.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya
Mrisho Kikwete alasiri ya leo, Jumatano, Agosti Mosi, 2012, atazungumza na Taifa
kupitia Mkutano wa Waandishi wa Habari utakaofanyika Ikulu, Jijini Dar es
Salaam.
Mkutano huo utakaoanza saa 10 kamili utahudhuriwa na
Wakurugenzi Wakuu, Wakurugenzi Watendaji, Wahariri Wakuu na Wahariri Watendaji
na utatangazwa moja kwa moja na televisheni nchini.
EmoticonEmoticon