Na Baba Juti
#WatuWaMungu Malkia wa “Watakoma” Amber Lulu kuna namna
ambavyo akiongea ama kuandika chochote katika Social Network accounts zake,
lazima utajua tu kuwa kuna jambo “Limemvuruga”
Na hii inatokana na kile ambacho ameamua kukivunjia ukimya
Baada ya waungwana wengi kuanza kumuandama kuwa ni kwanini amemficha “Chalii”
ambaye inaaminika ndiye Mpenzi wake Mpya baada ya kutokuonekana akijihusisha na
Mahusiano ypoyote ya kimapenzi kwa muda sasa
Sasa, Amber lulu ambaye hivi sasa anasukuma vizuri katika
Game la muziki wa bongo Flava kupitia Track yake mpya ya “HATERS” , ameamua
kuwafyatukia waungwana wanaopenda kutokumuona akipost mahusiano yake kuwa ni
kwanini wanataka awe ni mtu wa kucheka cheka tu, na wala hawafurahii yeye kuwa
katika mahusiano yake
' Ivi nyie mbona watu mnapenda kuwapangia watu maisha yao
mnataka nianze kucheka cheka ovyo mana nyege zikizidi ndo nakoelekea nimekaa
muda bila mahusiano so vyovyote ndo uyoo shemeji yenu mtake msitake imeishaa
iyoooo ….size yangu '
EmoticonEmoticon