Na Rich Sam
Mwanafunzi Mmoja kutoka MOSCOW Nchini Urusi, alifanya Tukio la kutisha la Mauaji kwa Mwalimu wake na kisha kujipiga "Selfie" mbele ya Mwili wa Marehemu huku akitabasamu
Tukio hilo Limefanyika Siku ya Jana (novemba 1) ambapo mwanafunzi huyo kutoka Chuo hicho cha Moscow, anayetambulika kwa jina la ANDREY EMELYANENKOV mwenye Miaka 19 alichukua uamuzi huo katika kipindi cha Mapumziko.
Taarifa zinafafanua zaidi kuwa, ANDREY alisubiri wanafunzi wenzake watoke Darasani katika Kipindi cha Mapumziko, na ndipo alipoamua kuchomoa Kisu na kumchoma mwalimu wake mpaka kupoteza maisha.
Baada ya kumuua mwalimu wakle anayefahamika kwa jina la SERGEY DANILOV, Mwanafuzni huyo alisogea pembeni ya Mwili wa Marehemu na kujipiga Selfie akiwa ametabasamu fresh
Hata Hivyo, haikufahamika sababu ya Mwanafunzi huyo kufanya Tukio Hilo na kisha kupiga Picha na kupost kunako Mitandao ya Kijamii
Baada ya kufanya Hayo yoite, Mwanafuzni huyo pia alijiua na kisha Polisi kufika na kukuta kisu kikiwa pembeni ya Miili yote miwili
PICHA NYINGINE HIZI HAPA
EmoticonEmoticon