Na Rich Sam
WATU WA MUNGU sidhani kam alichokifanya EVE ni Kibaya ama inakuwaje lakini tayari "baba Juti Blog" tumeshazinyaka juu kwa juu, na tunazishusha kwako kama kawaida.
KWA MUJIBU WA TAARIFA: Female Emcee huyu wa Mika ya Nyuma ambaye alisifika kwa Ugumu wa Mistari yake na Ugumu wa Sura yake, inasemekana ilimlazimu kupitia Upasuaji mara kwa mara wa Ngozi yake, ili kuilainisha na kuwa soft tayari kwa kuendelea kuivutia Ndoa yake Kiujumla
Waungwana wanadai kuwa, Mabadiliko ya Eve tangu alipoolewa na kipindi hajaolewa, yaani alipokuwa Hardcore, yamekuwa makubwa kiasi fulani hasa baada ya kuilainisha Ngozi yake na muonekano wake kuwa katika hadhi ya kuitwa "mama Mwenye Nyumba"
Picha kadhaa katika matukio kadhaa , yamekuwa yakidhihirisha kabisa kuwa Bibi huyu ambaye aliolewa na Bilionea Mzungu anayeitwa Maximilian Cooper, amepitia utaratibu huo, ambao umemfanya awe tofauti kabisa kimuonekano...and she iz So Sexy
EVE alifunga Ndoa na Bilionea huyo mwaka 2014 na mpaka sasa hivi hawajapata mtoto hata mmoja wa pamoja, ila EVE ni mama wa kambo wa Mtoto wa Mumewe Maximilian
EmoticonEmoticon