MASIKINI : BILL (Miaka 70) amejikuta Akifariki akiwa Live Kupitia Mtandao wa LGBT wakati akijichuwa (akifanya Punyeto) |
Na Baba Juti
#WatuWaMungu Aliyeleta hii System ya Live Streaming ,
asipoangalia namna ya kuboresha, basi tutashuhudia Mengi ya kushangaza na hata
kukatisha Tamaa
Mwanaume anayefahamika kwa Jina la Bill, kutoka Mashariki mwa Mji wa PENNYSYLVANIA, amepoteza
Maisha baada ya kupatwa na Shinikizo la Moyo, wakati akiwa LIVE kupitia moja ya
Mtandao wa Kijamii.
Kwa wale ambao tunatumia Mtandao Maarufu wa LGBT, ambao
unafahamika sana kwa kutoa Suport kwa Wapenzi wa Jinsia Moja, Waliobadili
Jinsia pamoja na wale wenye Jinsia Mbili (Lesbian,Gay, Bisexual &
Transgender Communit Center), mtakuwa
mmeshakutana na Tukio Hili ambalo lilimkumba Mwanaume Huyu ambaye alikuwa na
Umri wa Miaka 70
Kwa Mujibu wa Video Clip Hiyo (Tunaiminya kwa Sababu za
Kimaadili), Bill akiwa Live, ghafla alipatwa na Shinikizo la Damu alipokuwa
akijichua mbele ya Kadamnas ambao walikuwa wakitizama kupitia FAP SESSION
PROFILE: Huu ni Wasifu (Profile) Ya Marehemu BILL katika Mtandao huo ambao huwajumuisha Mashoga, Waliobadili Jinsia, na Wenye Jinsia Mbili |
Baada ya Kukaa kwa takriban Dakika 26 na Sekunde 16 akiwa
Mefariki na Bado Camera yake ikimuweka LIVE, Mke Wake aliingia Ndani na
kugundua kuwa Mume Wake Mpenzi amefariki Dunia Tayari na alikuwa Uchi wa Mnyama
Baada ya kugundua kuwa Mumewe huyo alikuwa LIVE kwenye
mtandao huo, alichukua Jukumu la Kumfunika Sehemu zake za Siri, na kuamua
kupiga Simu katika Kitengo cha Dharura ili wamsaidie
Mke huyo alipata Maelekezo kuwa ampatie huduma ya kwanza,
lakini , Kazi yake Mungu haina Moakosa, Tayari Mwanaume Huyo alikuwa
amesjhafariki Dunia.
Baada ya Kitengo cha Dharura kufika, walijitahidi kurudisha
Uhai wa Mzee huyo, lakini Haikuzaa Matunda
TIZAMA VIDEO HIYO : ONYO –VIDEO HII INA PICHA AMBAZO
ZINARUHUSIWA KUTIZAMWA NA WATU WA WENYE MIAKA KUANZIA 18+
EmoticonEmoticon