Na Baba Juti
#wATUwAmUNGU Hatimaye Rapper Nicki Minaj amekiri kuwa hivi
sasa anadate na Nas, kitu ambacho tulikizungumza wiki kadhaa zilizopita kuhusu
utata juu ya ukaribu wa wawili Hao.
Baada ya kukwepa huku na kule Maswali kadhaa kutoka kwa
Mashabiki wake, hatimaye amekiri wazi kuwa hivi sasa Nicki ana Date na Rapper
Mkongwe NAS.
Katika Kufafanua zaidi baada ya kuulizwa kuhusu Suala Hilo
ambalo lilikuwa kama Fununu, Nicki Minaj alianza kumwaga Sifa kuwa Nas ni King
Of Queens, hivyo hata yeye kuwa Karibu naye hasa Kimahusiano, anahisi kuwa ni
malkia tosha hapa Duniani.
Tofauti na Hilo, Nick Minaj ambaye aliusumbua Ulimwengu na
Mkwaju wa ANACONDA, alikiri kuwa anampenda sana Nas kwa Sababu yuko Cute sana
na hata hivyo, huenda Nyumbani kwake na Hata Kulala
Lilipokuja suala la kutaka kufahamu kama Huwa anampa mautamu
Nas akienda kulala Nyumbani kwake, Minaj alisema kuwa licha ya hayo yote
kutokea, lakini Nas bado hajabahatika Kuuonja Utamu wake, yaani hajampa Mchezo
bado
TIZAMA HAPA AKIKIRI
TIZAMA HAPA AKIKIRI
EmoticonEmoticon