BWANA, wanasemaga Uchungu wa Mwana aujuaye ni Mzazi, na hiki
ndicho ambacho Floyd Kakionesha kwa Mwanae wa Kike aisee.
Bondia Huyo ambaye ana mkwanja Mrefu sana, alijikuta akitibuana Vikali na majaji ambao
walikuwa wanasimamia Shindano la Watoto wa Kike Kucheza, linalofahamika kama
CHEERS DANCE COMPETITION, baada ya Team ya Mtoto wake wa Kike mwenye miaka 12
kushinda katika Nafasi ya Pili.
Katika Tukio hilo ambalo liligharimu majibishano ya takriban
dakika zaidi ya 5, Floyd Mayweather Jr alikuwa akihitaji ufafanuzi wa kwanini
Team ya Mtoto wake iliyoonekana kufanya Vizuri na kukubalika ilinyimwa Ushindi
wa Juu na Badala yake wakapewa watu wengine
Ingawa majaji walijitahidi kufafanua, Bado Floyd alikuwa ni
Mwingi wa Jazba na kuhoji vitu vingi sana, lakini jambo Jema hakuna aliyerusha
wala kurushiwa Ngumi
EmoticonEmoticon