BWANA, sijui Yule Mlengwa atajiskiaje lakini Tayari ndo
mahakama imeshaamua aisee
Hatimaye Siku ya Jana ilikuwa ni Siku Nzuri sana kwa Rick
Ross a.k.a Rozay ambaye ni Big Boss wa MMG, baada ya Mashtaka yake ya KUTEKA,
KUTISHIA KUUA na KUJERUHI kufutwa Rasmi.
Mashtaka hayo alikutana nayo katika Tukio ambalo limtokea
kipindi cha Nyuma kidogo kwa Kumpiga, Kumjeruhi na kumteka Mfanyakazi wake wa
Bustani ambaye baadaye ilimlazimu afungue Kesi mahakamani
Tukio hilo Pia lilimfanya Rick Ross akane nyuma ya Nondo kwa
Week Nzima na kulipa Faini ya USD 10,000
sawa na 22,800,000 za Kitanzania tukio ambalo lilitokea Mwaka 2015 kule ATL
Lakini Baada ya Hakimu kusema kuwa, Rozzay amefanya matukio
hayo kwa Mara ya Kwanza, basi anaweza kufuta Makosa yake yote endapo atashusha
Mkwanja aliotajiwa
EmoticonEmoticon