KUSHOTO-Reginae Carter Na Mama Yake Mzazi, Picha Ndogo- Reginae Carter wakati wa Kichapo |
DAH! Hii ni hatari
juu ya Hatari, na ndio maana tunasema hata uwe Mpole Vipi, ukichokonolewa tu,
Lazima Kinuke Mazee
REGINAE CARTER,
Binti wa Kwanza Wa Rapper Lil Wayne, alijikuta akizichapa Na Kundi la Wasichana
katika Usahili wa Wanafunzi wapya wa Chuo cha CLARK-ATLANTA ( Clark-Atlanta
University ) Huko Nchini Marekani.
Mbabe Wao |
Kwa Mujibu wa Video
Clip Pamoja na Mashahidi ambao walikuwa Eneo la Tukio, inasemekana kuwa tukio
hilo Lilichukua Takriba Dakika zaidi ya Kumi, huu Kundi hilo la Wasichana ambao
wanasadikika kuwa wachokozi na kuwarushia Madongo ya Hapa na Pale, likimvaa
Mtoto huyo wa Lil Wayne pamoja na Rafiki yake Kipenzi LOUDES
“Ugomvi Ulitokea
Ghafla baina yetu na Kundi hilo, lakini Bahati Nzuri hakuna aliyedhurika. Tuko
Salama Kabisa”, alifafanua Rafiki Wa Binti wa Lil Wayne, Lourdes
Hata Hivyo Mashuhuda
wengine wanadai kuwa, Reginae na Rafiki yake walikuwa na Mishe zao kawaida
ingawa walichokozwa na kundi hilo ambalo pia inasemekana lilikuwa limesha-boost
Vichwa vyao kwa Vilevi
Wanafunzi ambao ni
Wakongwe katika Chuo Hicho ndio waliookoa Jahazi kabla ya kuzama