Na Baba Juti
SIKU ya Jana , aliyekuwa Katibu Mkuu
wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo-CHADEMA, Dk Wilbroad Slaa, alitangaza
Rasmi Kuachana na Suala Zima la Siasa.
Dk.Slaa aliyasema hayo wakatia
akizungumza na Waandisshi wa habari huku akionesha kutokufurahishwa na hatua ya
Chama Hicho kukubali Ujio wa Edward Lowassa, amabye hivi sasa Ni Mgombea Urais
Kupitia CHADEMA, Chini ya UKAWA.
Katika Moja ya kauli ambazo Msanii
Wa Bongo Flava - Solo Thang, ni Pamoja na Dr, Slaa Kudai kuwa alifuatwa
Hotelini na kutaka kupewa Rushwa ya Milioni 500.
Kupitia Twitter Account Yake, Solo
Thang aliandika Hivi:
Una Ushahidi mtu kataka kukuhonga 500M,kwa nini usitoe taarifa TAKUKURU? akakamatwa? kama unasimamia misingi ya HAKI na umeshiba DINI?#THINK
— SOLO THANG~S.U.M.U (@solothang) September 1, 2015
EmoticonEmoticon