Na Baba Juti
PRODUCER Kutoka Fish Crub Cook Out-
Lamar, bado anaonekana kuumizwa na baadhi ya Producers “Wachanga” ambao
kiujumla hawajaiva katika Suala zima la Production.
Akizungumza na BONGO 5, Lamar amedai
kuwa, hiyo imekuwa ni sehemu ya tatizo katika Ufaikaji wa Kazi hasa Kwa
Producers mbali mbali ambao tayari wameshaiva katika Soko la Muziki.
Tofauti na Hilo, Lamar amedai kuwa,
Wengi wakishakuwa na laptop na Program za Kutengeneza Beats, basi wanahisi kuwa
Ni Producers wakali, wakati wanajikuta wanaharibu Mixings.
TIZAMA HAPA FULL INTERVIEW
EmoticonEmoticon