Na Baba Juti
IRENE UWOYA Ndiye alikuwa Mtoa Mada kuhusu wasanii kumtenga Rais Kikwete katika Suala Zima La Support hasa katika kampeni za Chama Cha mapinduzi-CCM
IRENE UWOYA Ndiye alikuwa Mtoa Mada kuhusu wasanii kumtenga Rais Kikwete katika Suala Zima La Support hasa katika kampeni za Chama Cha mapinduzi-CCM
Katika hatua Nyingine, Uwoya alidai
Kuwa, Huo utakuwa ni Ushabiki –Mandazi, hali ambayo ilimfanya Msanii Mwenzake
kunako Kiwanda Cha Filamu hapa Tanzania-Bongo Muvi, Shamsa Ford, ajawe na “Povu”
UWOYA ALIANZA HIVI
Sasa narudi kwa wasaniii wasio
jitambua!katika tasnia yetu ukweli usio pingika MH.KIKWETE amekuwa karibu Sana
na wasaniii na ametufanya tudhaminike...lakini chaajabu kunawatu wanajifanya
hawajui mchango wake...kiukweli inaumiza sana!kunawatu walikuwa wanashinda
ikulu na MH . Anawasaidia sana katika kaz zao ...lakin Leo wamesahau yote na
kumsapot mtu ambae ajawahi ata kuwatambua kwanafasi zao...kama sio ushabiki
maandaz niniii?LOooo!!!aibu...
Hali Ilikuwa kama Ifuatavyo:
Hali Ilikuwa kama Ifuatavyo:
EmoticonEmoticon