BABA JUTI (Blacktouchez.com)
KILA Mtu anafahamu Vizuri kabisa kuwa, Luten
Karama na Memba wa Scorpion Girlz, Isabella, wako katika mahusiano, tena mahaba
mazito.
Na Hivi majuzi Tu , Luten Karama (Gangwe Mobb)
alimvarisha Pete ya Uchumba Isabella, kitu ambacho Bibi huyu “Msaka Pesa”
amekuwa akijivunia Kupitia “Social Networks”
Sasa, Hivi majuzi, Isabella amekuwa akisema
kuwa, atatoa tamko Fulani, nah ii Leo ndo amefanikisha Zoezi Hilo.
Kupitia account yake ya instagram, Isabella “Amefyatuka”
kuwa, Tamko Lenyewe ni Kwamba, Iwe Bomani (Serikalini) au Msikitini, Ndoa
lazima Ifungwe.
Akimaanisha, Ndoa yake pamoja na Mchumba wake
Luten karama.
Isabella aliandika Hivi
TAMKO NI BOMANI AU YA KIDINI ILA
ITAFUNGWA TUUUUUUUUU
Hivi Karibuni, Isabella alidai kuwa, Inspecta
Horoun amekuwa akimgombanisha na Mashabiki wa Luten karama, kwa madai kuwa,
anamzuia asihudhurie katika Show za GANGWE MOBB
EmoticonEmoticon