Blacktouchez.com
WAKAZI wa Eneo la Kisumu Nchini Kenya, Kwa
Asilimia kubwa Hivi sasa Wanaishi katika Hofu ambayo kiujumla Haitabiliki.
Kama Mlikuwa Hamjafahamu, Ndugu zetu hawa ambao
ni watafutaji kupita Maelezo, wamekuwa wakifanyiwa Unyama Wa hali ya Juu na
Vibaka ama Majambazi ambao wanapora ka Kutumia Boda Boda.
Mpaka Hivi sasa, Asilimia kubwa ya wananchi wa
Eneo hilo, tayari wameshakutana na “Mtiti Huo” huku Wengine wakizidi kupata
matibabu.
Kwa wale ambao “wafukuza mapepo”
tumeshawashuhudia na hata kuwaona kupitia Video Clip Mbali mbali, wamejeruhiwa
sana Kijumla, huku wakiachiwa makovu na Vidonda ambavyo vinabaki kuwa gharama
na maumivu Kwa.
Wananchi hawa wanapigwa Na Vitu Vyenye Ncha
Kali, mapanga, katika maeneo ya Kichwani, Miguuni, Shingoni, Masikioni, n.k
Muda ambao mpaka hivi sasa unaaminika kuwa
waharifu hao wanakuwa kazini, ni Saa Kumi mpaka Kumi na Moja Alfajiri, pamoja
na majira ya Usiku.
Jeshi la Polisi linafanya patrol, lakini hakuna
kinachosaidi
WASIKILIZE WAATHIRIKA HAPA
WASIKILIZE WAATHIRIKA HAPA
EmoticonEmoticon