Blacktouchez.com
NAAMINI wengi tunakumbuka kabisa Enzi za Diddy-Dirty Money, na Projects Kibao hasa ile COMING HOME.
NAAMINI wengi tunakumbuka kabisa Enzi za Diddy-Dirty Money, na Projects Kibao hasa ile COMING HOME.
Sasa kuna Jipya ambalo pia limeweza kuibuliwa na
huyu bibie ambaye alikuwa ni moja kati ya wanafamilia wa DIRTY MONEY.
KALENNA, ni Binti ambaye alikuwa anakamilisha
jumla ya Memberz watatu wa Dirty Money, yaani Diddy na Yule dada Mwingine.
Kwa mujibu wa Mfyatuko wake, anadai kuwa, anajivunia kufanya kazi na Puff, na mpaka anaamua kupigana chini kundi hilo, aliondoka kiroho safi na wala hakuwa na Ugomvi naye.
Lakini Pia mamito huyo amedai kuwa, kuna Muda
alikuwa akiharibiwa sana na zawadi kutoka kwa Diddy, ukizingatia alikuwa na
Mtoto Mdogo wa Miezi Nane, hivyo alidhani anahitaji zawadi hizo kuliko Kitu
Kingine.
INSERT: KALENNA ON DIDDY
MSIKILIZE HAPA
MSIKILIZE HAPA
EmoticonEmoticon