MDUDU wa Kesi unazidi kuwatafuna baadhi ya
wasanii wenye majina makubwa Duniani…
BAADA ya Kitengo Chimbua Chimbua Kushusha Ishu
ya R.Kelly kushtakiwa, Once Again mzigo unahamia kwa Rapper T.I, ambaye na yeye
anakabiliwa na Kesi ya Dhuruma Dhidi ya Vifaa vya Jukwaani, alivyokodi kwa
ajili ya Tour
Aidha Mitonyo inazidi kushuka kuwa, kuna kampuni
Moja ilimpatia Vifaa kwa ajili ya Tour ya AMERICA’S MOST WANTED ambayo
ilihusisha Vichwa Vikali pia akiwemo YMCMB Boy LIL WAYNE, pamoja na wengineo
Kibao
Kampuni hiyo, iliongeza Kuwa, T.I aliweza
kulipia Gharama za kukodi Vifaa Hivyo, ambayo ni USD 50,000 sawa na Takrimbani
Tsh Milioni 80, lakini wakati wa kurudisha, hakuweza kurejesha SCREEN
inayofahamika kwa jina la ROLL DROP inayosadikiwa kuwa na Gharama kubwa, na ilitumika kuonesha Picha
Kwa Jukwaa.
Tofauti na Hilo, kampuni hiyo, imedai kuwa
inafungua Mashtaka ya Dhuruma ama Wizi dhidi ya T.I, na anatakiwa Kulipa Kiasi
cha USD 100,000 ambapo USD 50,000 ni gharama za Kukodi, na USD 50,000 ni muda
ambao T.I amekaa nayo na ni Fidia ya kupoteza kipato ambacho kingeingia
EmoticonEmoticon