JANA Katika Mtandao wa Instagram, kulizuka Mopja
ya info ambayo Kitengo Chimbua Chimbua kiliweza kuinyaka na kuibeba kabla
haijafutwa..iko Hivi..
Kupitia account ya Instagram inayoitwa
USIPOJIPANGA NITAKUPANGA, kulipostiwa Madai ya Bibie Mmoja anayefahamika kwa
Jina la Brina, na kudai kuwa, alikuwa na mahusiano naye ya Kimapenzi kuanzia
Mwaka 2010, ila Mwaka jana wakapigana Chini na Mkali huyo wa kabinti SPECIAL.
Aidha bibie huyo aliendelea kulalamika kuwa, baada ya kupigana Chini na
Dully, basi Dully akaanzisha mahusiano na dada Mwingine anayefahamika kwa jina
la BWEDAH ambaye eti inasemekana ni Mke wa Mzungu mmoja, na ndiye aliyelengwa
zaidi kwenye Track ya KABINTI SPECIAL
Kitu ambacho kilikuja kushtua TTM, ni ile kauli
kutoka katika Post hiyo, kuwa DULLY anapenda Kuhongwa, ndio maana alipigana
Chini na Mlalamikaji (BRINA), kuamua kuanzisha mahusiano na BWEDAH ambaye
huenda akawa vizuri kimkwanja maana yuko na Mdhungu.
BAADA ya Comments Kibao, Hatimaye Dully
alijitokeza kunako account yake ya Instagram, na Kupost Picha Bibie Huyo
BWEDAH, na kuandika yafuatayo
#ROHO #YANGU #MZEE #KASAMPAIDER # KABINTI #SPECIAL @ BWEDAH_MALANGA
CREDIT (ISTAGRAM @ usipojipangantakupanga/@princedullysykes)
EmoticonEmoticon