Kuna Muda huwa Tunapata wakati mgumu
sana Zinapoingia Siku za WEEKEND.
Kuna Muda Pia Stress huwa Nyingi
Kila Inapotimia Siku ya Kwanza Ya Weekend
Na kuna baadhi ya watu huwa
Tunaamini kuwa Weekend Bora ni Lazima uwe na Pesa Nyingi ama Ulewe kupita
maelezo,ama Uspend Pesa Nyingi sana.
Lakini kuna jambo la Msingi ambalo
natamani tulifahamu kwa hali na mali.
Tunatamani sana Uifanye Hivi Weekend
Hii ambayo inaanza Leo.
·
Weka
Mipango yako Vizuri
·
Jitahid
Kukutana na Marafiki zako/ Wafanyakazi Wenzako
·
Jitahid
kuzingatia mazingira ya Nyumbani..(fanya marekebisho ya Nyumba, mpangilio wa
Ndani,nk)
·
Epuka
Kulewa/Ulevi kupita Kiasi.
·
Jitahidi
Kutoka Nje ya Nyumbani (kukutana namarafiki maeneo ya Uwazi)
·
Jitahidi
kufanya Kitu Kipya Siku za Weekend
·
Epuka
Stress/Mawazo Mengi Siku zaWeekend.
·
Jitahidi
kujumuika katika Michezo/Shughuli za Michezo
EmoticonEmoticon