REPIN ROCK CITY

REPIN ROCK CITY

TUMA TRACK YAKO

RIPOTI: MILEY CYRUS SASA HAPANA…AINGIA NA KITU CHA AJABU KWA STAGE.

3:42:00 AM

DAWATI LA TTM

Kitengo cha TTM na NYUMA YA PAZIA kiujumla Inafahamu Fika kabisa kuwa, Msanii wa Kike ambaye amekuja Juu si kimuziki tu, bali hata Kwa Vituko, MILEY CYRUS, kila Siku huwa Haishiwi na Jipya.

Infact Kitengo Chimbua Chimbua tunajiuliza, Hivi Dada huyu ndo amenogewa na mahaba, ama kuna Kitu Kingine Cha Ziada anacho kunako Akili yake.

KILICHOTOKEA:

Miley Cyrus ambaye hivi sasa ana Umri Mdogo tu, wa Miaka 21, alitakiwa Kusghusha Perfomance katika tamasha Moja hivi lililopewa Jina tatanishi la  HOT SPOT G-A-Y , lililofanyika Ijumaa Usiku huko jijini London.

Katika hali ambayo iliwashangaza watu mbali mbali waliohudhuria Show Hiyo, baada ya Miley Cyrus kuingia na Kitu kikubwa chenye Mfano wa Umbile la UUME na Kuanza Kushusha Perfomance huku akilichezea Balaa.

Ndugu zangu, Ukitizama Picha ambazo Tumepata nafasi ya kuzikodolea jicho, utakubaliana na maoni ya wazazi waliohudhuria katika Tamasha Hilo, kuwa kitu kilichofanyika hapo, hakika ni hatari sana katika Macho ya watoto…yaani Weka Mbali na watoto.
Unaweza kumpa hukumu gani Bibie huyu…

PICHA NYINGINE ZIONE MWENYEWE





MWISHO WA RIPOTI

KITENGO CHIMBUA CHIMBUA

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »

MNADA BANNER