REPIN ROCK CITY

REPIN ROCK CITY

TUMA TRACK YAKO

EDDIE MURPHY KATIKA BIG SKENDO AGAIN..SFARI HII ALISHIRIKI MAPENZI NA MWANAUME ALIYEJIBADILISHA JINSIA

6:42:00 AM

TTM tunakukumbusha kuwa, Eddie Murphy ambaye ni Mcheza Filamu na Mchekeshaji maarufu Ulimwenguni, ameahi kuingia katika Skendo kadhaa hasa za kimapenzi na wanawake tofauti.

Sasa This Time TTM tumepata Mtonyo Kuwa, Eddie Murphy ambaye hivi sasa pia anatesa na Track yake ya REDLINE alomshirikisha Snoop Dog ikiwa katika Mahadhi ya Reggae, ameingia kunako Skendo Mopya kabisa, ya Kuwahi kufanya mapenzi na na Mtu aliyejibadilisha Jinsia kutoka Uanaume mpaka Uanamke.

Jamaa huyo ambaye hivi sasa tunamtambua kama Binti, na anafahamika kwa Jina la HONEY DIP ASHTON, amedai kuwa amekuwa akifanya mapenzi na Eddie Murphy tangia akiwa na Miaka 17 (yaani Binti Mwenyewe).


Tofauti na Kutoa madai hayo, HONEY DIP ASHTON ameanza kuachia Ushahidi wa wawili hao ikiwemo mazungumzo yake na Mwanasheria wa Eddie Murphy, pamoja na Mawasiliano ya Online aliyokuwa akiyafanya na Mrembo-Dume Huyo.













Share this

Related Posts

Previous
Next Post »

MNADA BANNER