REPIN ROCK CITY

REPIN ROCK CITY

TUMA TRACK YAKO

PUMZIKA KWA AMANI MICHAEL JACKSON..LAKINI KUNA HILI NOMA LINGINE LINAKUKABILI

6:13:00 AM

NEW YORK, Marekani

FAMILIA YA MICHAEL JACKSON inaweza kuingia Matatani kutokana na Mbwadidi ambalo limeletwa Hivi majuzi kuhusiana na Michael Jackson Mwenyewe.

Kwa Mujibu wa Info ambzo TTM tumezinyaka ni kwamba kuna Kesi ya Muda Mrefu ambayo ilikuwa Imefunguliwa Dhidi ya Marehemu Wack Jacko, Kuhusu ULAWITI, na hatimaye kushindwa Kurindima Baada ya Mhusika aliyefungua kudai kuwa haikuwa na Ukweli wowote.

Lakini Katika hali ya Kushtukiza na Kushangaza, Ishu hiyo imeibuliwa Upya kwa madai kuwa Mhusika JAMES SAFECHUCK anayedaiwa Kulawitiwa na marehemu Michael Jackson Miaka ya 80, ndiye aliyeifungua, na anahitaji Kesi nhiyo kuangaliwa Upya.

Info zilizidi kumiminika kuwa, madai yanayozungyumziwa katika Kesi hiyo ni kwamba, Michael Jackson amekuwa akimuingilia JAMES SAFECHUCK Kinyume na maumbile, tangia akiwa na Umri wa Miaka 10 mpaka 15.

Kama Utakuwa ni Mfuatiliaji Mzuri, katika Tangazo Moja Hivi la Kinywaji laini, ambalo hatutolitaja Kutokana na sababu za Kibiashara, ambalo Micheal Jackson alilifanya Mwaka 1987, Safechuck anaonekana akiwa na Michael Jackson, na hata Kuwa naye karibu katika matuklio mbali mbali hasa Mwaka 1988.


Hata Hivyo familia ya Michael jacson Pamoja na Mwanasheria wao, wamepinga mashtaka hayo, huku wakishindwa kuelewa kwanini Kesi Hiyo Ianze Kurindima Upya wakati Awali ilishakataliwa hasa na wahusika.

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »

MNADA BANNER