REPIN ROCK CITY

REPIN ROCK CITY

TUMA TRACK YAKO

6:31:00 AM

NEW YORK , Marekani.
ARNOLD SCHWARZZENEGER naye sasa anahitaji kulipwa na hataki Mchezo katika hilo, kwani Mhusika asipoangalia atagongwa za Ki-Terminator….TTM tumeshazinyaka

Kwa mujibu wa Ripoti kamili Kutoka kitengo maridadi cha Chimbua Chimbua, inasemekana kuwa, Arnold amemaind Vya kufwa Omuntu baada ya kubaini kuwa kuna kampuni inayojishughulisha na masuala ya lishe, imetumia Picha yake Bila Idhini yake hasa katika bidhaa zake.

Tofauti na kutumia Picha, Arnold amedai kuwa kampuni hiyo Pia Imetumia  na Jina katika Bidhaa hizo za Lishe bila hata makubaliano naye , jambo ambalo yeye kamwe hatolivumilia.

Pia Mkali huyo aliyevumaga na Movies ikiwemo Terminator ya Kwanza mpaka ya mwisho, na nyinginezo Kibao, amesema kuwa, kwanza hafahamu kama Bidhaa hizo ni Bora au la, maana hata hajaitwa kuzionja, hivyo watu wasiamini kuwa yeye anahusika kwa namna yoyote Ile.

Mpaka hivi sasa, tayari Arnold Swcharzenegger ameshafungua mashtaka kudai Mkwanja yaani Fidia angalau ya USD MILIONI 10, sawa na takribani Billion 15 za Kitanzania

HASTA LA VISTA ARNOLD SCHWARZENEGER

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »

MNADA BANNER