REPIN ROCK CITY

REPIN ROCK CITY

TUMA TRACK YAKO

MAVAZI YA SENATOR MIKE SONKO ..YAWAVUNJA MBAVU RAIS UHURU KENYATTA NA RUTTO.

6:20:00 AM

NAIROBI, Kenya

UKIMZUNGUMZIA Senator MIKE SONKO, hakika unapata Picha za Matukio mbali mbali ambayop jamaa huyu amewahi kuyafanya na hata bado anazidi kuyafnya…Likiwemo La Kuzagaa kwa Picha zake na Kiongozi Mwenzake Rachel Shebesh pamoja na Masuala kibao tu ya Kibishoo.

Sasa this Time Imekuwa Mpya , baada ya Mike Sonko Kujikuta akionekana Tofauti na Viongozi Wenzake walipokuwa Uwanja wa Ndege Kumpokea  kumpokea Kiongozi wa Nchi Ya China LI KEQIANG.

MIKE SONKO ali[potia Timu Uwanjani hapo, alikuwa amevaa KOTI LA KAWAIDA LA SUTI pamoja na TAI, huku chini akiwa amevaa Jeanz ambayo imechanika chanika, fashion ambayo invaliwa hivi sasa na Vijana.


Uhuru na Ruto walishindwa kujizuia na kuangua kicheko walipomuona Sonko akiwa amevaa hivyo, na hiyo tumeithibitiosha kutokana na Picha ambayo inamuonesha  Rais Uhuru alionekana kwenye picha akicheka huku akinyoosha kidole kwenye jeans ya Sonko.

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »

MNADA BANNER