WIKI Iliyopita TTM kupitia BLACK TOUCHEZ
tulikushushia Kwaju jipya la The Hot Female Hip Ho Emcee, NATTY E Ambayo
inafahamika kwa Jina la HAINAGA NOMA, na Hivi Leo imetambulishwa rasmi kupitia
Kipindi Cha Jam Session cha 99.4 MHz, ikiwa ni baada ya Kufanyiwa Utambulisho
wa Awali kupitia Kituo Cha RADIO FREE AFRICA Mwanza.
Tofauti na Hilo, Honeya ni Moja kati ya wasanii
ambao tulipata nafasi ya kuzungumzia Uwezo wao mzuri wa kuimba, huku
tukikukabidhi Track yakle ya UWE WANGU.
Producer Deey Classic |
In That Case, Kipaji cha wawili hawa wawili
NATTY E & HONEYA, finaly kimeweza kuvuka mipaka na kutua nchini KENYA,
ambapo The Hip Hop Artist Nchini humo, anayefahamika Kwa Jina la JAMAA TU
FULANI ameweza kuwakutanisha katika Track Moja.
JAMAA TU FLANI ambaye hivi sasa anaishi CANADA, amewapa
SHAVU Honeya katika Chourus, Huku Natty e akikamua Verse ya Kwanza katika Ngoma
hiyo inayofahamika kwa jina la FREEDOM..
Mzigo infact Umesimamiwa na Mbabe Mwenyewe, DEEY
CLASSIC kutoka Revolution Sound Jijini Mwanza, ambaye amefanya kile ambacho ukubali
ukatae, anastahili Credit Yake.
SIKILIZA KIDUUUCH:..
EmoticonEmoticon