DEEY
CLASSIC ana jina Lake Kubwa Tu hapa Bongo baada ya Kuzalisha (Producing)
Mikwaju kadha wa kadha ikiwemo DEAR GOD ya KALA JEREMIAH, na Nyinginezo Kibao
kama JANA NA LEO ya YOUNG KILLA akiwa na STAMINA & QUICK RACKA
Apart From Music ambao ndio Sehemu kubwa ya
Kipaji Chake, DEEY Mwenye makazi yake ROCK CITY Mwanza, akisukuma Beats na Voices
katika Studio kali za REVOLUTION Sound, hivi sasa yuko na “Mkato” huu kwa ajili
ya Friends Wote ambao wanahitaji Kung’aa.
Ziko Available kwa Bei ambayo Inakidhi Kiwango
Chako..
MCHEKI Kupitia 0653 252 526 & 0752 420 903
EmoticonEmoticon