TUNAFURAHA: Waziri Mkuu wa Tanzania Mh. Mizengo Pinda akifurahia jambo
wakati wa mazungumzo na Mdhibiti na Mkaguzi
Mkuu wa Hesabu za Serikali Bw. Ludovick Utouh (kushoto) na Mkaguzi Mkuu
wa hesabu za Serikali wa Sweden
Jan Lindahr Hjelmaker. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
EmoticonEmoticon