Rihanna |
Robbin Fentty “Rihanna” Bado anahisia kali kinoma noma dhidi
ya aliyekuwa Mpenzi wake, Chris Brown “Chris Breezy- Pretty Boy”,
ILIKUWA HIVI…….
Hayo yamesemwa na Bibie Huyo katika Sehemu ya Pili ya
Kipindi cha Mwana mama Oprah Winfrey, ambapo alibainisha kuwa aliwajibika na
kuhusika vilivyo kuhusu Brown kuliko
hata yeye, baada ya Kudundwa na Mkali huyo wa R&B, alipokuwa akizungumzia
kuhusu maisha yake katika Mahusiano ya Kimapenzi na Chris Brown
“Kila nikimuona Chris, huwa Napata wakati Mgumu sana, maana
Bado ninampenda sana, na hilo halitotoweka kwangu kirahisi. Hisia zangu kwake
zilikuwa ni za dhati kabisa”
INAKUWAJE AKIMUONA BROWN NA MPENZI WAKE MPYA…
Rihanna alidhihirisha Live kabisa kuwa huwa anajihisi kuumia
sana pindi anapomuona Chris Brown na Mpenzi wake mpya Karruche Tran.
NI KWELI BHANA….
Pia mwanamama Rihanna alipoulizwa iwapo Chris Brown alikuwa
ni Mwanaume wa Maisha yake, Rihanna alijibu….
“Ni dhari kabisa. Nahisi alikuwa ni Mwanaume wa maisha Yangu”
EmoticonEmoticon