REPIN ROCK CITY

REPIN ROCK CITY

TUMA TRACK YAKO

"SASA NI ZAMU YA KICHUPA CHA NO SAY"-KACCI

1:29:00 PM
 





 Young Rapper anayetamani anayekuja Kwa kasi katika Music Industry hapa Bongo, Aboul Mrisho "Kacci The Town Son'" a.k.a "Kaccilionaire", amedhihirisha kuwa Video ya ngoma yake Mpya kabisaaa yenye Title la "NO SAY" itakuwa Matata ile Balaa
Akipiga stori na Blog hii, Mkali huyo ambaye kwa sasa anakita na Track balaa ya " HOLLA AT YO NIGGAH" iliyepikwa na Producer GQ kutoka Mji kasoro bahari, amesema kuwa watanzania wasubiri mapinduzi ya dhati katika Ngoma hiyo mpya ambayo amemshirikisha mmoja kati ya Memba wa kundi la "Mtu Chee", Country Boy, huku akisisitiza kuwa anaamini Track hiyo itakuwa moja kati ya Headlines kunako Media kibao

"Nafanya video ya nyimbo yangu tarehe kumi na moja ngoma inaitwa NO SAY nimefanya na COUNTRY BOY studio ni DIGITAL VIBES producer GQ na Video Company ni Revolution Videos so niko kwenye maandalizi"

Katika Video hiyo ambayo inatarajiwa kufanyiwa "mandingo" mida si mingi, itakuwa chini ya Usimamizi na Uongozaji wa  GEORGE NDUNGURU ambaye yupo katika Kampuni mpya ya REVOLUTION VIDEOS.
Kacci The Town Son still anasababisha Headlines na Ngoma kama Vile Holla At Your Niggah, Haters Going Down, I like That na Butterfly ambazo zote zimetengenezwa haswa na GQ, katika Lebo ya RACERS.
Stay with joachimjunior.blogspot.com ili kujua kila step

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »

MNADA BANNER