Na Joe Mwangi
UKIMUONA Avril kama uko Very serious , ukasikia sauti yake inakuita, halafu unapomaliza kuitika, anaomba angalau "akuchumu", basi kama utakataa, we nii mgumu kuliko wanaume wote Duniani
Urembo tunaouona kwa Binti Huyu mwenye taji lake la kuitwa "Mrembo na Msexy" kutoka kwangu, kuna muda huwa unachagizwa na Mavazi yake, Umbile Lake, nywele zake, tabasamu lake, lakini Pia MIWANI zake
Sasa kama ulikuwa hujafahamu, Avril mwenyewe anazungumzia kile ambacho kipo Nyuma ya Miwani ambayo huwa anavaa sometimes, ili kuweka sawa kwa wale ambao pengine wanatafsiri kuwa huwa ni swagg tu na anaongeza urembo.
Kupitia Instagram account Yake, Avril Mwenyewe kaweka wazi kuwa, Kitendo chake cha kuvaa miwani ya macho, kisitafsiriwe kama ni Urembo, ila huwa anatatizo la macho (Myopic) na amekuwa akifanya hivyo mara kadhaa maana hiyo ndioyo tiba ya mwisho kwake
Ukiachilia mbali hilo, Avril akaongeza kuwa , amekuwa na tatizo hilo tangu alipogundulika akiwa mtoto mdogo
EmoticonEmoticon