Na Rich Sam
KESI ya Ubakaji ambayo inamkabili Kaka wa Nicki Minaj, Jelan Maraj, imeendelea kusikilizzwa na safari hii kumeibuka madai mapya ambayo kila mtu ameonekana kushtushwa nayo kiukweli
Kwa Mujibu wa Jelan Maraj, inasemekana kuwa, Familia ya Binti anayedaiwa kubakwa akiwemo mama yake mzazi, walitumia kesi hiyo kwa ajili ya "kuitikisa" familia ya Nicki Minaj hasa Nicki Mwenyewe, ili kuvuna mkwanja.
Akifafanua zaidi kuhusu Madai Hayo, Mwanasheria wa Jelani Maraj, DAVID SCHWARTZ ambaye haukwa na ugumu kuliweka wazi jambo hilo mbele ya mahakama, alidai kuwa Mama wa Mtoto huyo ambaye ni wa Miaka 12, alimpigia Simu Nicki Minaj na kumwambia kuwa anatakiwa amlipe USD Milioni 25.
Mwanasheria huyo aliongeza kuwa, Mama wa Mtoto ambaye anadai kubakwa, alikuwa ni Mke wa Jelani Maraji kwa Takriban Miezi minne, hivyo aliunda kila aina ya Mbinu kuhakikisha kuwa anapandikiza Kesi ya Ubakaji kwa Kaka wa Nicki Minaj ili kuweza kuvuna mkwanja huo na ndio maana alitumia kila mbinu kuwasiliana na Nicki minaj, huku akitoa vitisho kuwa, endapo Mkwanja huo hautotolewa, basi atatoa Taarifa kwa watu kuwa alimbaka Binti yake
Mwanasheria huyo alidai hivi:
"Haitengenezi mantiki yoyote kwa mzazi kumtumia mtoto wako kutengeneza Pesa hata Kidogo> Mama huyu alifikia mpaka hatua ya kuchukua mbegu za mumewe na kuziweka katika Nguo ya ndani ya Mtoto wake ili aonekane amembaka"
MAHAKAMA
Baada ya kusikiliza Malalamiko ya Pande zote mbili hasa Utetezi uliofanywa na Mwanasheria wa Jelani Maraji, Mahakama ilitoa Taarifa kuwa, licha ya hayo yote kusemwa, bado inaonekana kuwa Jelani alianza kumrubuni Binti huyo wa Miaka 12 kipindi ambacho Ndoa yake na mama wa Mtoto ilikuwa katika wakati mgumu kutokana na Ugomvi wa hapa na Pale pamoja na Ulevi wa kupindukia ndani ya Nyumba
Mwanasheria Msaidizi wa Jimbo la Nassau kwa ngazi ya Wilaya, EMMA SLANE aliiambia Mahakama kuwa, Maraj alianza kuwa karibu na binti huyu kwa kuanza kumbusu, kumtomasa tomasa mara kadhaa na hata kuingia naye chumbani (kwa binti)
" Alikuwa akimchukua na kumpeleka Chumbani kwake, kisha anamuinamisha na kupitisha MDENGE wake katika Uke wa Binti Huyo. Hata Hivyo, binti huyo pamoja na mdogo wake wa miaka 8, walikuwa wakimchukulia mtuhumiwa kama baba yao mzazi. Lakini mambo yalibadilika baada ya Mdogo wa Binti kuingi chumbani kwa Maraj na kumkuta baba yake wa kambo akifanya tendo la Ndoa na Dada yake. Baada ya maraj kuona hivyo, alimpiga Mtoto huyo wa Kiume makofi na kumtishia kumfanyia jambo baya kama angemwambia mtu yeyote"
Pia Slane aliongeza kuwa, Mpaka Kesi inakuwa Kubwa kiasi hicho ni baada ya Mtoto wa kiume kutoa taarifa katika Kitengo cha Kulinda haki za watoto kuhusu kitendo alichofanyiwa Dada Yake
EmoticonEmoticon