Na Baba Juti
#WatuWaMungu Kuna habari Mpoya kuhusu Bibie Ashanti ambaye
hivi sasa ameamua kuchukua Uamuzi mpya ili kuboresha Vitu ambavyo anahisi
vinahitaji Great Modification
Kwa Mujibu wa Muonekano Mpya aliokuwa nao katika Perfomance
yake ya MEMORIAL WEEKEND, Ashanti alikuwa na Kifua tofauti na kile ambacho
tumezoea kukiaona Niezi Kadhaa iliyopita kitu ambacho kilizua Mjadala Mzito
sana
Aidha, waungwana wanadai kuwa, Ni Kweli, Ashanti alikuwa na
kifua cha Kawaida sana kipindi cha Nyuma Kidogo, lakini kwa Hivi sasa kimekuwa
Tofauti kidogo , kitu ambacho kinaashioria kabisa kuwa, Ashanti alifanya
maboresho Muda Mfupi tu uliopita
Hata Hivyo, Ashant Mwenyewe hajaweka Bayana kama ni kweli
kafanya Modification ama Lah, lakini kipindi cha Nyuma iliwahi kuenea kuwa
anahitaji kuweka Utamu Mwingine katika Kifua Chake….
EmoticonEmoticon