Na Baba Juti
KUDADADEKI, Hii inaitwa Kupatwa Kwa Mkorogo
Banange
Kwa Hivi sasa Kama Ukimtizama Rapper Lil Kim,
Huwezi kumtambua baada ya kuweza kufanya maboresho zaidi katika Ngozi yake
Nyeusi na sasa unaweza ukadhani ni Pure Mzungu kudadadeki
Kupitia icha ambazo alipiga kupitia tamasha la
BAD BOY (Bad Boy Family Reunion Tour), Lil Kim alionekana akiwa amejichubua
mpaka basi kiasi kwamba ukiangalia Vibaya unaweza ukahisi Sio Lil Kim ambaye
tunamfahamu enzi zileee
Wengi walianza kujiuliza kuwa kwanini ameamua
kuibadilisha Ngozi yake kiasi hicho lakini bado majibu hayajapatikana mpaka
sasa hivvi.
Tofauti na hilo, Comments kibao bado zinaonekana
kumshangaa sana Bibioe Huyu ambaye awali alikuwa Full Black na Ngozi yake
ilikuwa Tamu balaa.
EmoticonEmoticon