Na Baba Juti
BAADA ya Kupigwa Kifungo Cha Nyumbani, hatimaye
Big Bous wa MMG-Rick Ross a.k.a ROZAY, hivi sasa yuko Huru Kupiga Misele Mitaani
kama kawaida
Rozay alipewa Kifungo Hicho Kufuatia Madai ya
Kumpiga na Kumteka Mfanyakazi na Muangalizi wa Bustani yake katika Jumba Lake,
huku Kitako cha bastola Kikidaiwa Kuhusika.
Kwa Mujibu wa hakimu ambaye alikuwa akisikiliza
Kesi Hiyo, Rozay Hivi sasa Yuko Huru Kutoka Ndani ya Nyumba yake, na hata
kufanya Shughuli zake Mbali mbali ikiwemo Muziki na mengineyo
Instagram: @babajuti
EmoticonEmoticon