Na Baba Juti
RAPPER Wakazi amedai kuwa, siku hizi huwa anatoa
Single Mbili kwa wakati mmoja, hasa katika Kuwalenga mashabiki zake wa aina
mbali mbali
Kupitia Ukurasa wake wa Facebook, Wakazi
aliandika Kuwa, hivi sasa anatoa Nyimbo Mbili kwa wakati mmoja, na Mikwaju
hiyo, Moja Inakuwa katika Lugha ya Kiswahili, na Nyingine ikiwa katika Lugha ya
Kiingereza
Aidha darasa amedai kuwa, katika mashabiki zake
Wote, Wapo ambao wanapenda akirap Kwa Lugha ya Kiingereza, na Wengine Hupenda
akiwa anarap katika Lugha ya Kiswahili
TUNAMNUKUU
“Siku hizi huwa natoa single Mbili kwa wakati
mmoja ili kulenga fans tofauti wa Muziki wangu. Wapo wanaopenda nikirap kwa
English na wapo wanaopenda nikirap kwa kiswahili. Je nyie mnaonaje niendelee na
mfumo huo huo au tuchanganye ki Bilingual-flow?! What Yall think ...”
Instagram; @babajuti
EmoticonEmoticon