RAPPER 2 Chainz
anaweza akasalimisha USD MILL 5 baada ya Ushahidi kupatikana kwa kumdhalilisha
Binti mmoja ambaye alielekea upande wa Back Stage ambako Rapper Huyo alikuwa
akijiandaa kwa ajili ya Show.
CHRISTINE CHISSHOLM
ambaye mpaka hivi sasa Umri wake haujafahamika, Mnamo March 2014 alikutana na
udhalilishaji huo, kwa Kuitwa Jina baya,
ambalo wafukuza mapepo tumelitafsiri kama Kahaba wa Kutupwa, pindi aliokuwa
Back Stage, akiwa na Timu Nzima ya 2 Chainz.
PICHA LILIVYOANZA:
Bibie Huyo alionekana
kuongea na 2 Chainz huku baadhi ya Maneno akichapia, hali ambayo iliwafanya
watu wamcheke hasa waliokuwa kunako Back Stage.
Kilichoua zaodi, ni
Bibi huyo kumuita AUGUST ALSNIA kama AGUSTA ASELINA, hali iliyowafanya wamcheke
balaa huku “Kaka Baunsa” ambaye alikuwa anahakikisha Usalama upo wa Kutosha kwa
Msanii huyo na Timu yake kule Back Stage akimtimua Binti Huyo katika Eneo hilo.
KILICHOTOKEA KWA BINTI.
Christine anadai kuwa,
baada ya Video hiyo Kupostiwa kunako Mtandao wa YOUTUBE, alijikuta akidhalilika
na hata Hadhi yake kuonekana imevunjiwa Heshima kiasi kwamba mpaka hivi sasa
anajihisi vinaya kila anapopita.
Tofauti na Hilo,
mamito huyo Mrembo Kweli alijikuta akipoteza kazi yake katika Salon ya Kiume,
ambapo anadai kuwa Boss wake aliogopa kuendelea kufanya naye kazi kutokana na
udhalilishaji huo uliofanyika, ili kuilinda heshima yake, na biashara yake.
TIZAMA VIDEO HIYO HAPO CHINI:
(Usisahau kutembelea www.blacktouchez.com)
EmoticonEmoticon