KUANZIA siku ya jana,
Social Network zilikuwa zimezagaa taarifa kadha wa kadha lakini kubwa amabyo
inazidi kushika hatamu, ni ile ya Sextape ya Tyga na Model aliyebadili Jinsia,
kuingia Mtaani.
KAULI hiyo
“ilifyatuliwa” na Model Huyo ambaye anakwenda kwa jina la MIA ISABELLA, na hata
kudiriki kuachia Picha ya Uume wa Tyga, ambayo inasemekana kuwa Tyga
alimtumia,.
TYGA KUTUMIA FBI KUMFAHAMU
ALIYESAMBAZA PICHA YAKE:
MPAKA hivi sasa,
“wafukuza Mapepo” tumedaka Mchongo Kuwa, Tyga ameamua kuingia Ndani zaidi kuhakikisha
kuwa anampata mtu ambaye alisambaza Picha hiyo kunako Mitandao Mbali mbali ya
Kijamii.
Ingawa awali Tyga
alikataa kuwa Ile Picha haikuwa ya Kwake, baadaye wakili wake alithibitisha
kuwa, Mzigo Ule ni Wa Tyga, hasa Ukizingatia kuwa Tattoo zinazoonekana katika
Tumbo ni za Kwake, hivyo wameamua kuingia Mbele zaidi ili Kukamata Mhusika.
Tofauti na hilo,
Mwanasheria huyo wa Tyga, LEE HUTTON amesema kuwa, wameamua kuwaomba FBI
wawasaidie katika Uchunguzi, na hivi sasa wamefanikiwa kupata Baadhi ya E mails
ambazo zinaonekana kuhusika na usambazaji wa Picha Hiyo, pamoja na Blog ambayo
ilikuwa ya kwanza kabisa kupost Picha Ya UUme wa Tyga.
TYGA ANATISHIA KUMUUA MIA ISABELLA
BIBIE huyo ambaye
anadai kuwa, amekuwa katika mahusiano ya Kimapenzi na TYGA kwa Miaka 3, hivi
sasas anatishiwa kuuawa na Rapper Tyga. Akiyasema hayo kunako Instagram, Mia
anadai kuwa Tyga ni Mtu wa Ajabu sana, maana yeye ndiye aliyempigia Simu na
Kumuomba Huduma ya Kupewa Mahaba na Mia, na alilipwa USD 270, lakini bado
alihitaji m,ambo hayo yafanyike mara kwa mara, na hatimaye kudumu katika
Mahusiano ya Kwa Miaka 3.
Hata Hivyo, Mia
amesema yeye haogopi kufa, nab ado yuko katika Msimamo wa Kuachia Mkanda huo wa
Ngono ambao unamhusisha Tyga na Yeye Mwenyewe
EmoticonEmoticon